Rorya United yatwaa ubingwa Umoja Cup Rorya 2025

Rorya United yatwaa ubingwa Umoja Cup Rorya 2025

11/5/2025

Rorya United FC ilitwaa ubingwa wa Umoja Cup Rorya 2025, hatua inayoendeleza dhamira ya klabu ya kukuza vipaji vya vijana wilayani Rorya.

Ushindi huu ni sehemu ya safari ya klabu tangu kuanzishwa kwake tarehe 1 Juni 2024 na Bw. Peter Owino.

Read full source article
Rorya United yatwaa ubingwa Umoja Cup Rorya 2025 | RUFC